skip to main |
skip to sidebar
Phillip Mangula; Jana Na Leo!
Picha ya juu ni kutoka gazeti la MWANANCHI la jana. Picha mbili za chini nilimpiga Mangula kwenye Mkutano wa CCM mkoa wa Iringa Septemba 10, 2007 pale ambapo Mangula aligombea nafasi ya Uenyekiti Mkoa na kushindwa na Deo Sanga maarufu kama Jah People.
No comments:
Post a Comment